NAJAH BAKAR

Dimba - - Dimba Special -

OFISA Habari wa Baraza la Taifa la Michezo Tanzania, amevitaka vyama vya mikoa nchini kuandaa timu zao tayari kwa mashindano ya riadha wanawake Taifa yaliyopangwa kufanyika Novemba mwaka huu jijini Dar es Salaam. Amevisisitiza vyama hivyo kuanza maandalizi mapema sambamba na kuthibitisha ushiriki wao ili kuyafanya mashindano hayo yawe yenye ushindani utakaokuza viwango vya wachezaji.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.