ELIUD AMBOKILE

Dimba - - Dimba Special -

STRAIKA wa Mbeya City, amesema lengo lake msimu huu ni kuona anatimiza lengo la kuwa mfungaji bora na kuondoa dhana ya nyota wengi wa kigeni kuifanya tuzo hiyo kama ya kwao kwa namna ambavyo wamekuwa wakipokezana. Ambokile ambaye alichaguliwa mchezaji bora wa mwezi Septemba mpaka sasa ameshatupia nyavuni mabao sita na kuahidi kukisaidia kikosi cha timu hiyo katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.