MUDATHIR YAHYA

Dimba - - Dimba Special -

KIUNGO wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, amesema ana matumaini makubwa na timu hiyo kufanya vyema ugenini katika mchezo dhidi ya Cape Verde kuwania Kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) uliopangwa kufanyika Oktoba 12 jijini Praia nchini humo. Mudathir amesema mazoezi waliyoyafanya na motisha waliyopewa na mashabiki pamoja na Serikali inawapa nguvu ya kupambana vyema ugenini na baadaye nyumbani ili kusonga mbele katika michuano

hiyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.