HANS PLUIJM

Dimba - - Dimba Special -

KOCHA wa Azam, amesema hana wasiwasi na kikosi chake msimu huu na wala akili yake haishughulishwi na kutwaa, bali anachoangalia katika kila mchezo kupata matokeo mazuri na wachezaji wake kuwa na nidhamu muda wote ndani na nje ya uwanja. Pluijm amesema kikubwa kwake ni pointi tatu na nidhamu kwa wachezaji wake, kwani masuala ya ubingwa ni baadaye.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.