ASANTE KWASI

Dimba - - Dimba Special -

BEKI wa Simba amesema hana wasiwasi na nafasi yake ndani ya kikosi chake, licha ya uwezo wa washindani wake kwa kuwa uwepo wao ni kitu kizuri na changamoto ya kumfanya apambane ili kukisaidia kikosi hicho kutetea ubingwa wake. Kwasi amesema anafurahia kukutana na changamoto ndani ya kikosi hicho, hasa ushindani wa wachezaji wanaocheza nafasi moja, kwani inazidi kumpa ari ya kupambana ili aweze kupata namba ya kudumu ndani ya kikosi cha kwanza.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.