SOLLY NJASHI

Dimba - - Dimba Special -

MWENYEKITI wa Mbao FC, amesema pamoja na kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, wamepania kumalizia hasira zao katika mchezo wao wa leo dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Njashi anasema wanaingia uwanjani wakiwa na machungu makali ya kupoteza mchezo huo, lakini sasa wanawaambia Yanga wajiandae kisaikolojia na kipigo kitakachowakumba.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.