SHIZA KICHUYA

Dimba - - Dimba Special -

WINGA wa Simba, amesema kushindwa kufunga katika michezo iliyopita ya Ligi Kuu Tanzania Bara ni kutokana na bahati haikuwa kwake na si mfumo unaochangia kufanya hivyo. Amesema anaamini siku hazilingani, hivyo ameanza kufanyia kazi makosa yaliyojitokeza ili kurejesha kiwango chake kama ilivyokuwa misimu iliyopita.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.