Ajib alimpa ‘kibabe’ Chilunda

Dimba - - Burudani Za Wasanii - NA ABDULAH MKEYENGE

IBRAHIM Ajib Migomba amlipa Shaban Iddy Chilunda unavyoweza kusema. Au vijana wa kileo wanaweza kukwambia bao lile unaweza kuliombea mkopo benki bila kuambatanisha na kitu chochote.

Ajib amefunga bao hilo la kideo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Mbao FC ya Mwanza, Uwanja wa Taifa na kuamsha shangwe za mashabiki wa Yanga.

Lakini msimu uliopita bao kama hili lilifungwa na Chilunda wa Azam FC ambaye hivi sasa amejiunga na CD Tenerife ya Hispania, Azam FC walicheza dhidi ya Yanga, huu ukiwa mchezo wa mwisho wa timu hizo kwa msimu uliopita uliochezwa uwanjani hapo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.