Kaa tayari kwa Hemed Phd Documentary

Dimba - - Burudani Za Wasanii - NA JESSCA NANGAWE

M SANII wa Bongomovie, Hemed Suleiman Hemed Phd, amesema anatarajia kuandaa kitabu kitakachozungumzia maisha yake kabla na baada ya kuwa maarufu.

Hemed, ambaye amekuwa akifanya vyema katika filamu na Bongo Fleva hapa nchini, amesema amepitia mambo mengi kwenye maisha yake, hivyo ameona ni vyema kuyaelezea kwa wakati mmoja ili mashabiki wake watambue alipotoka.

ìNina mengi ambayo nimeyapatia, na bado nina safari ndefu mbele, natamani sana watu wajue nilipotoka,î alisema Hemed.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.