FUNDI DE BRUYNE ANAKUJA

Dimba - - Burudani Za Wasanii -

KIUNGO wa Manchester City, Kevin de Bruyne (27), anatarajia kurejea uwanjani baada ya kupona jeraha lake, ambapo ana nafasi kubwa ya kuwavaa Burnley Oktoba 20, baada ya kuhofia kuchezeshwa mchezo uliopita mbele ya Liverpool.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.