JKT mmewasikia Coastal Union!

Dimba - - Burudani Za Wasanii - NA TIMA SIKILO

NAHODHA wa Coastal Union, Hussein Sharif, amesema baada ya kuchezea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Azam FC, hasira zao kwa sasa wanazielekeza katika mchezo wao unaofuata dhidi ya JKT Ruvu ya Pwani.

Akizungumza na DIMBA Jumatano, alisema kupoteza kwao mchezo huo ni chachu ya kujipanga upya mchezo unaofuata, ili kufuta makosa yaliyopita.

ìKupoteza ni moja ya mchezo, akili zetu tunazihamishia katika michezo ya mbele, hususan ambao upo katika ratiba ya hivi karibuni dhidi ya JKT,î alisema.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.