Robert Pires aacha bonge la somo Tanzania

Dimba - - NEWS -

NA MWANDISHI WETU GWIJI wa zamani wa timu ya Arsenal, Robert Pires, ambaye yupo Tanzania kwa mwaliko wa Benki ya Barclays Tanzania kama balozi wa Kampeni ya Superfans United, amewataka wachezaji nchini kukaza buti kama kweli wanataka kufikia mafanikio yake.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam, alisema wacheza mpira wa Tanzania hawana budi kujituma kwa bidii, ikiwa ni pamoja na kujiwekea utaratibu wa mazoezi ya nguvu kila asubuhi ili kufikia malengo ya kucheza soka la kulipwa Ulaya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.