Dulla Makabila kupamba tamasha mimba za utotoni

Dimba - - NEWS - NA TUNU NASSOR

MAANDALIZI ya Tamasha la kupinga mimba za utotoni litakalofanyika Novemba 9, mwaka huu yamekamilika.

Mratibu wa tamasha hilo Mahoza Kondo ameliambia DIMBA kuwa tamasha hilo linatarajiwa kufanyika katika uwanja Uhuru jijini Dar es Salaam.

Alisema tamasha hilo litahudhuriwa na mshindi wa pili wa shindano la Miss Tanzania mwaka 2018 , Nelly Kazikazi.

Wasanii mbalimbali watakuwapo katika tamasha hilo akiwamo Dulla Makabila, Bright, Ezy man,Jacklizer, Py Vanna kutoka Big one Entertainment na kundi la mkubwa na wanawe,î alisema Kondo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.