JUVENTUS HAWANA MPANGO NA POGBA

Dimba - - NEWS -

KOCHA wa Juventus, Max Allegri, amesema hana mpango wa kumsajili kiungo wa bei ghali wa Manchetser United, Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 25 kama inavyoenezwa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.