WAZUNGU WA AFRICAN LYON KAMA KUMBIKUMBI

Dimba - - NEWS -

NI mechi kadhaa sasa zimepita, benchi la timu ya African Lyon linaongozwa na kocha msaidizi, Adam Kipatacho, baada ya mkuu wake, Soccoia Lionel, kurejea nyumbani kwao hadi pale atakapokamilishiwa mahitaji yake na mmiliki wa timu, Raheem Kangezi ‘Zamunda’. Lionel hakuondoka peke yake bali ameambatana na straika wake, Victor der Costa, ambao awali waliwasili pamoja siku moja kabla ya ligi kuanza kuhudumu katika kikosi hicho ambacho kimevuna pointi 11 katika michezo 13 kilichoshuka dimbani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.