ERASTO NYONI

Dimba - - NEWS -

BEKI wa timu ya Simba, amesema anajua kuna ugumu katika kupata matokeo kwenye ligi kutokana na ushindani uliopo kwa sasa, ila si kikwazo kwa kikosi chake kuendeleza ubabe. Nyoni alikuwa nje kutokana na kupata adhabu kutoka Shrikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kudaiwa kutokuwa na mchezo wa kiungwana, amedai anapambana kuendelea kukipa kikosi chake heshima ili kiweze kutetea ubingwa wao.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.