KELVIN YONDANI

Dimba - - NEWS -

BEKI mkongwe wa kati na nahodha wa Yanga, Kelvin Yondani, amesema akisajiliwa mlinzi wa Rayon Sports ya Rwanda, Abdoul Rwatubyaye, safu yao itatisha na watakata ngebe za washambuliaji jeuri kama, Emmanuel Okwi. Yondani amesema, Mnyarwanda huyo ni bonge la beki mwenye uwezo anayeeandana naye katika aina ya uchezaji katika nafasi ya ulinzi anayochezwa hivi sasa na Andrew Vicent pamoja na Abdallah Shaibu ‘Ninja’.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.