MO BANKA

Dimba - - NEWS -

KIUNGO wa Yanga, Mohamed Issa ‘Mo Banka’, ameibuka na kuomba msamaha kwa mashabiki wa timu hiyo huku akiahidi kurejea kwa nguvu zote mara baada ya kumaliza adhabu yake. Amesema anajutia kwa kitendo hicho kwa kuwa licha ya kuharibu jina lake pia anaamini mashabiki wake watakosa uaminifu naye na kumwondoa katika ramani ya soka kwa asilimia kubwa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.