SAID KHAMIS

Dimba - - NEWS -

STRAIKA wa Mbao FC amesema hesabu zake kwa sasa ni kuhakikisha anafanikiwa kuvunja rekodi ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi ya kupachika mabao 20 msimu uliopita. Said amesema bado anaendelea kupambana kila anapopata nafasi na kwa sasa anajua kwamba ligi inaendelea hivyo atapambana kufa au kupona kutimiza ndoto yake hiyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.