JUMA MWAMBUSI

Dimba - - NEWS -

KOCHA msaidizi wa Azam, amesema licha ya mabadiliko ya hali ya hewa mkoani Kagera, lakini wamejipanga kuchukua pointi tatu muhimu katika mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar. Anasema ratiba yao ya maandalizi inaendelea kama kawaida, kikosi kipo katika hali nzuri na wachezaji wote wana ari ya mchezo huo hivyo lengo lao ni kuondoka ugenini kifua mbele.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.