Wabunge wapinga kitanzi cha kodi kwa wawekezaji

Mtanzania - - Mbele - Na MAREGESI PAUL -DODOMA

BAADHI ya wabunge, wamesema mazingira ya uwekezaji nchini, siyo mazuri kwa wawekezaji kutokana na kodi wanazotozwa. Kutokana na hali hyo, wamesema Serikali inatakiwa kuangalia upya mazingira hayo ili kuwavutia wawekezaji wengi zaidi.

Malalamiko hayo yalitolewa na wabunge hao jana walipokuwa wakijadili Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2017/18 iliyowasilishwa juzi na

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.