Gambo alikoroga

Meya, viongozi 13 wakiwamo wa dini bado wasota rumande kwa amri yake

Mtanzania - - Mbele - ABRAHAM GWANDU Na JANETH MUSHI -ARUSHA

SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kuwakamata Meya wa Jiji hilo, Calist Lazaro, viongozi wa dini pamoja na waandishi wa habari 10 waliokuwa katika tukio la kukabidhi rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent, Jukwaa la Wahariri

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.