ZARI AMJULIA HALI MZAZI MWENZAKE

Mtanzania - - Swaggaz -

MOJA ya habari zilizotikisa wiki hii ni picha iliyosambaa ikimwonyesha mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa pembeni ya kitanda alicholazwa baba wa watoto wake, Ivan. Katika ukurasa wake wa Instagram, Zari aliwaomba mashabiki zake wamuombee mpenzi wake huyo wa zamani ambaye habari zinadai anasumbuliwa na Shambulio la Moyo, ugonjwa ulimfanya alazwe hospitali nchini Uganda. Aliandika Zari chini ya picha ya mshumaa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.