DOGO MFAUME AWALIZA MASTAA, MASHABIKI

Mtanzania - - Swaggaz -

WIKI hii taarifa ya kfo cha Mfalme wa muziki wa Mchiriku, Suleiman Mfaume ‘Dogo Mfaume’ amefariki dunia na kuzikwa jana katika makaburi ya Mbiki, Chanika, Dar es salaam ambapo mastaa mbalimbali na mashabiki wameguswa na kifo hicho. Wasanii nyota kama Diamond Platnumz, Nay wa Mitego, Afande Sele na wengine walitumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kuonyesha kuguswa na kifo cha staa huyo wa singo ya Kazi Yangu ya Dukani. -Kifo ni kila kitu, kifo ni kwa kila mtu hata uwe fundi viatu R.I.P mdogo wangu Dogo Mfaume, Tukimaliza kazi tutavishwa taji,” aliandika Afande Sele.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.