Jinsi ya kupunguza gharama ya chakula cha kuku

Mtanzania - - Jiongeze - Inaendelea Uk 2

UTAJIRI katika ufugaji unakuja endapo mfugaji anajiongeza na kutafuta maarifa kila kikicha ili mifugo yake iwe na tija. Katika miaka ya karibuni watu wengi wamejitokeza kufanya ufugaji wa kuku wakiwa na tumaini la kupata faida na kuinua uchumi wa familia zao. Baadhi ya wafugaji ambao walifanya mahojiano na JIONGEZE kwa nyakati tofauti wanasema kuna faida nyingi katika ufugaji wa kuku lakini pia kuna

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.