DONDOO ZIJUE MBINU

Mtanzania - - Jiongeze -

Ni muhimu kuzingatia misimu ya mvua ya mahali husika na aina ya soya inayofaa ili kuruhusu soya kukomaa wakati hakuna mvua na hivyo kuhifadhi ubora wake migomba, vanila, Mikoa inayoongoza kwa uzalishaji ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Rukwa, Iringa na Morogoro lakini pia mikoa ya Tanga, Lindi, Kagera, Mara, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha na Manyara inafaa kwa kilimo hiki.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.