LYRICS

Mtanzania - - Swaggaz -

ARTIST: GOODLUCK GOZBERT SONG: SHUKURANI

VERSE 1 Ninakushukuru Mungu sababu ya bei Hata uhai sikustahili Ninakushukuru Mungu tena sababu ya dhiki Hata nikisali unajua namaanisha Sio kama eti nilitenda wema kwa kujalisha matendo yako makuu Mimi Mungu ningekulipa nini. Ulikonitoa nisinge moyo wangu matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu. Umenipaa heshima ukanifuta machozi asante ooh Baba. CHORUS Hata shukurani zangu (ni kwako yeleleee). Shukurani zangu (ni kwako yelelee) Shukurani zangu (ni kwako yeleleee) Shukrani zangu (ni kwako yeleleee) Asante baba... Ayayaaaaa (*6)

VERSE 2 Aibu umefuta, fedheha umefuta, umenipa amani iliyo ya kweli. Nakumbuka nalia... mimi ndo yule ambaye nilitoka na kwa dharau kwisha habari yake. Kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea. Ikiwa kwa siku za usoni wakasema tunazika kesho. Ila kwa huruma uliniponya na kaburi Kwa huruma sitosahau wema wako wee (baba).

REPEATE CHORUS Shukurani zangu (NI kwako baba) *4 Asante baba (*3) Yelelele mama

VERSE 3 Kama ni kusoma tulisoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri. (Asante baba)... Ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki na uzima (Asante baba) Ndoa zimefungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani (Asante baba). Furaha walikosa wengi umeruhusu tabasamu kwangu (Asante baba)

Na Shukurani yelele Mama, yelele mama, yelelele yelele Mama, yelele mama, yelelele yelele Mama, yelele mama, yelelele yelele Mama, yelele mama, yelelele Umeombwa na Bariki wa Segerea, Dar es Salaam uende kwa mke wake, Selina wa Morogoro.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.