IJUE KINGA ILIYOLETWA KUPAMBANA NA SUMU KUVU

Mtanzania - - Jiongeze -

SUMU kuvu ni sumu inayozalishwa na fangasi wanaota katika nafaka, mizizi na mafuta.

Mazao yanayoshambuliwa zaidi ni mahindi, karanga na mihogo lakini pia wanaweza kuota katika chakula cha mifugo kama pumba.

Kwa mujibu wa watafiti katika siku za karibuni, sumu kuvu inapatikana katika maziwa na mayai iwapo ng’ombe au kuku alikula chakula kilichoambukizwa na sumu kuvu. Pia kwa mama anayenyonyesha akiwa amekula sumu kuvu huonekana kwenye maziwa kwa hiyo atakuwa anamnyonyesha mtoto maziwa yenye sumu kuvu.

Madhara ya yamewahi kutokea nchini Kenya ambako takriban wananchi 200 walifariki dunia lakini pia mwaka jana watu 19 walifariki katika wilaya za Kondoa na Chemba mkoani Dodoma na wengine watatu walifariki wilayani Kiteto.

Kutonakana na hali hiyo Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Kilimo cha Ukanda

Fangasi wakiwa kwenye udongo wanakuwa na fomu ya vumbi vumbi hivyo wanakuwa wepesi wanaoweza kupeperushwa na hewa, wadudu, wanyama au ndege. “Wakipeperushwa wanaweza kufika kwenye maua, kwa hiyo wakati maua na poleni inaingia kwenye matunda ili yafungwe inaweza kuingia na hao fangasi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.