Ijue kinga iliyoletwa kupambana na sumu kuvu

Mtanzania - - Jiongeze - “Mwanzoni majeraha.

“Ina maana yule mwenye sumu akitaka ashindane apate hewa na wale ambao ni wengi waliokomaa anashindwa akitaka apambane apate chakula kwa kuwa wale wengine wanakuwa wameshakuwa wakubwa na yeye ni mchanga,

SUMU kuvu ni sumu inayozalishwa na fangasi wanaota katika nafaka, mizizi na mafuta.

Mazao yanayoshambuliwa zaidi ni mahindi, karanga na mihogo lakini pia wanaweza kuota katika chakula cha mifugo kama pumba.

Kwa mujibu wa watafiti katika siku za karibuni, sumu kuvu inapatikana katika maziwa na mayai iwapo ng’ombe au kuku alikula chakula kilichoambukizwa na sumu kuvu.

Pia kwa mama anayenyonyesha akiwa amekula sumu kuvu huonekana kwenye maziwa kwa hiyo atakuwa anamnyonyesha mtoto maziwa yenye sumu kuvu.

Madhara ya yamewahi kutokea nchini Kenya ambako takriban wananchi 200 walifariki dunia lakini pia mwaka jana watu 19 walifariki katika wilaya za Kondoa na Chemba mkoani Dodoma na wengine watatu walifariki wilayani Kiteto.

Kutonakana na hali hiyo Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Kilimo cha Ukanda wa Tropiki (IITA) imeanzisha na mradi wa kuzuia sumu kuvu katika mazao tangu yakiwa shambani kuwa kutengeneza kinga ya inayoitwa aflasafe.

JIONGEZE ilifanya mahojiano maalumu na mmoja wa watafiti wa taasisi hiyo Jacob Njela na anasema mradi huo ni wa njia ya kibailojia.

“Mradi wa kuzuia sumu kuvu kwenye mazao ni mradi wa njia ya kibailojia yaani tunatumia bakteria mmoja asiye na madhara kumzuia bakteria mwingine mwenye madhara. ilikuwa inaonekana kwamba sumu kuvu inashambulia mazao yanapokuwa ghalani na likapata unyevu, mazao hayo yanashambuliwa na ukungu au fangasi ambao wakiota kwenye hayo mazao ndiyo wanaotengeneza hiyo sumu kuvu,” anasema na kuongeza:“Lakini tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kwamba sumu kuvu pia inaweza kuingia mazao yakiwa shambani.”

Anasema kwa kawaida kwenye udongo ndiyo mahali wanapoishi fangasi na humo wapo wanaotengeneza sumu na wasiotengeneza sumu lakini kwa uwiano fangasi wanaotengeneza sumu ni wengi kuliko wasiotengeneza sumu.

“Fangasi hao wakiwa kwenye udongo wanakuwa na fomu ya vumbi vumbi hivyo wanakuwa wepesi wanaoweza kupeperushwa na hewa, wadudu, wanyama au ndege.

“Wakipeperushwa wanaweza kufika kwenye maua, kwa hiyo wakati maua na poleni inaingia kwenye matunda ili yafungwe inaweza kuingia na hao fangasi,” anasema.

Njela anaeleza kwamba mazao yanaendelea kukua vizuri hadi yanakauka tayari kwa kuvunwa lakini kumbe ndani yake kuna fangasi wanazaliana na yak- ipimwa yanapovunwa yanakutwa na sumu kuvu.

“Ndipo tulipogundua kwamba pamoja na kujikinga na sumu kuvu kwenye ghala wakati wa utunzaji pia ni muhimu kujikinga na sumu kuvu kuanzia shambani.

“Kwa kuwa fangasi anayetengeneza sumu huingia katika mimea kipindi yanatengeza maua hivyo sisi tumetengeneza dawa inayoitwa aflasafe ambao ndiyo wale fangasi wasiotengeneza sumu ambao tunawaingiza shambani wiki mbili hadi tatu kabla mimea haijatoa maua.

Anaeleza kwamba lengo ni kuwaingiza shambani fangasi wasiotengeneza sumu kabla mimea

Sumu kuvu ina sifa gani

Anasema sumu kuvu ina sifa nne lakini zote ndizo zinasobabisha iwe na madhara kwa binadamu.

“Kwanza haionekani kwa macho hii ina maana hauwezi kutambua kwa kuona, haina harufu wala haina ladha huwezi kuiona sumu kuvu kwa kuionja wala kwa kuinusa.

“Ina uwezo wa kuhimili joto haijatoa maua ili wakifika shambani waanze kukua, wazaliane na watengeneze vumbivumbi.

“Fangasi hawa wakienea shambani watalitawala shamba na pindi mazao yanapotoa maua na wale fangasi wenye sumu wakitaka kuingia wanakuta wale wazuri wameeneza hivyo watashindwa kupambana.

“Ina maana yule mwenye sumu akitaka ashindane apate hewa na wale ambao ni wengi waliokomaa anashindwa akitaka apambane apate chakula kwa kuwa wale wengine wanakuwa wameshakuwa wakubwa na yeye ni mchanga, anataka apate chakula akue anashindwa hata akitaka ashindane nao kwa nafasi wale ni wakubwa yeye ni mchanga lolote yaani joto kubwa kwa mfano ikiingia kwenye unga bata ukienda kupika uji kwa nyuzi joto 150 mtu akila bado a sumu kuvu anazipata,” anthari za Madhara ya sumu kuvasema Anasema sumu kuvuyu hara kwa binadamu, wanina madkibiashara.

“Kwa binadamu madhara yake yamegawanyika katika makundi mawili, kundi la kwanza

na anashindwa hivyo anaondoka na kuliacha shamba salama likiwa na fangasi wasiotengeneza sumu.”

Anasema dawa hiyo imeshafanyiwa majaribio na matokeo ya kwanza yalikuwa mazuri na kwa kipindi hiki wapo kwenye majaribio ya msimu wa pili na wameanza kupima maabara na yametoa matokeo mazuri kama ya mwaka jana.

Anasema wakati wanaendelea na majaribio bado taratibu za kuomba kibali serikalini zinaendelea na matarajio yao ni kwamba mwishoni mwa mwaka huu wataweza kupata kibali ili dawa hiyo ianze kutumika kwa wakulima.

“Hii ni teknolojia pekee inayoleta matumaini kupunguza sumu binadamu anapokula sumu kuvu kwa kiasi kikubwa akila kwa kiasi kikubwa sehemu ya kwanza ya mwili inaenda kwenye ini.

“Ini linashindwa kuichuja hiyo sumu kwa kuwa inakuwa imeingia kwa kiasi kikubwa zaidi ya uwezo wake, ini linafeli na hiyo sumu inasambaa mwili mzima. “Mgonjwa aliyepatwa na matatizo hayo tumbo linaanza kuvimba, mwili unaanza kuvimba, macho kuvu kwa njia ya kibailojia, ni njia rahisi mkulima yeyote anaweza akatumia pia ni rafiki kwa mkulima, haina madhara kiafya haina madhara kwa mimea yenyewe, haina madhara kwa udongo wala haina madhara kwa mazingira,” anasema.

Anasema pamoja na kwamba kinga imepatikana lakini ni lazima kanuni bora za kilimo zitumike kama kuandaa shamba, wakati wa kupanda, kuchagua mbegu bora, kupalilia shamba ikiwezekana kuweka na dawa ya kuzuia wadudu wasiingie shambani.

“Hakikisha unavuna yakiwa yamekauka, usianike kwenye udongo weka kwenye turubai au kichanja na kuhifadhi weka kwenye sehemu yanakuwa ya njano anatapika anaharisha akichelewa anaweza kufariki,” anasema.

Anataja madhara mengine kwa binadamu ni pale binadamu anapokula sumu kuvu kidogo kidogo lakini kwa muda mrefu.

Anaeleza kwamba madhara yake yanaweza kuonekana siku za mbele katika maisha ya binadamu kwa kupata saratani ya ini, anaweza akapungukiwa kinga zisizoingizi unyevu, mazao yasiwekwe sakafuni na yasiegemea ukutani.

“Kwa upande wa karanga zihifadhiwe ambazo hazijabanguliwa ili ukitaka kutumia unabangua mwenyewe pia ni vizuri kuziacha kwenye maganda.

“Kwa mahindi wakati wa kupukuchua wahakikshe hawatengenezi majeraha ina maana wasipukuchue kwa kupiga, endapo mahindi ni mengi basi watumie mashine rahisi ambazo zinaacha mahindi yakiwa mazima bila ya kuwa na majeraha kwa sababu mazao yakiwa na majeraha yanaacha nafasi yanakuwa na uwezekano mkubwa wa kushambuliwa na fangasi tofauti kama yakiwa hayana za mwili bali kwa watoto wadogo huwafanya wasikue vizuri na kama mtu alikuwa mjamzito inaweza kumsaidia katika ujauzito wake. Madhara kibiashara Mazao yakisafirishwa nje ya nchi yakitambulika kuwa yana sumu kuvu nyingi yanarudishwa hivyo nchi inakosa fedha za kigeni lakini wakulima pia wanakosa mapato.

Kwanza haionekani kwa macho hii ina maana hauwezi kutambua kwa kuona, haina harufu wala haina ladha huwezi kuiona sumu kuvu kwa kuionja wala kwa kuinusa. “Ina uwezo wa kuhimili joto lolote yaani joto kubwa kwa mfano ikiingia kwenye unga hata ukienda kupika

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.