DONDOO MBINU ZIJUE

Mtanzania - - Jiongeze -

Magimbi hustawi katika eneo lenye ubaridi, unyevu na maeneo ya msitu. Aidha, hustawi katika eneo la tambarare au hata milimani, lakini zaidi katika maeneo ya bondeni au kwa kuotesha penye migomba, Ndugu Sumaku, zao hili hustawi katik maeneo yenye kiasi cha nyuzi joto 25 hadi 30 na mwinuko wa mita 900 kutoka usawa wa bahari.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.