3

Mtanzania - - Rose -

Siku chache baada ya Harmonize kutoa wimbo unaoitwa Nimechoka unaodaiwa kumlenga mpenzi wake wa zamani Jacqueline Wolper, wawili hao wameendelea kurushiana vijembe vya mafumbo. Wiki hii, Harmonize aliposti video akiwa na mpenzi wake wa sasa Sarah wakipika na kuweka maelezo yanayodaiwa kumlenga Wolper kuwa anatoa povu. Mashabiki wamewataka wawili hao kuachana salama bila vijembe.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.