2

Mtanzania - - Rose -

BAADA ya sintofahamu kuhusu kinachoendelea baina ya Ben Pol na Ebitoke zilisambaa taarifa kuwa wawili hao waliachana. Hata hivyo taarifa hizo zilikanushwa wiki hii na Ben Pol ambaye aliiambia Ayo TV kuwa wako sawa kabisa na hawana tofauti yoyote japo watu wamekuwa wakiwazushia habari. Bado haijulikani kama wawili hao wanatengeneza kiki au ni kweli.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.