1

Mtanzania - - Rose -

Mzazi mwenzake na Diamond Platnumz, Zari ameposti kidole cha kati kwenye picha ya Instagram iliyomwonesha msanii huyo akiwa ndani ya maji. Picha hiyo inadaiwa kupigwa na kupostiwa na mpigapicha wa Diamond, Kifesi. Inadaiwa Zari alifanya hivyo baada ya tetesi kuwa Diamond yupo Zanzibar na mshindi wa Big Brother mwaka 2013 Dilish Methew.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.