Pendezesha shingo kwa skafu za maua

Mtanzania - - Rose -

SHINGO inahitaji vitu vingi tofauti. Si shanga au chaeni tu bali hata skafu pia.

Skafu zinasaidia pia kupendezesha vazi lako. Mara nyingi zinavutia katika vazi la rangi moja na unaweza kuzifunga staili tofauti kadri upendavyo.

Leo nimekuletea skafu zenye maua, zinajulikana kama floral scarf, hizi zinavutia kutokana na mpangilio wa maua yake. Kama ni mpenzi wa skafu, basi jaribu hizi pia. 1 Kama hii inapatikana kwa madukani au kupitia mitandao kwa £15. sawa na Shilingi 39,680. 2 Hii inapatikana kwa £20. sawa na Shilingi 52,907. 3 Kama hii yenye maua chini, inapatikana kwa £25 sawa na Shilingi 66,133. 4 Hii inapatikana pia kwa £20. sawa na Shilingi 52,907

1

2

4

3

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.