MAFUTA YA NAZI, MAWESE NA MAGONJWA YA MOYO

Mtanzania - - Jamii Na Afya -

*Mafuta ya nazi na mawese, yanapaswa kutumiwa kwa kiasi na si kwa wingi kwa sababu huwa yana kiwango kikubwa cha lehemu.

*Ni vizuri pia kuzingatia ulaji wa nyama, nyama ya kuku na zilizonona huwa na mafuta mengi ambayo yakiingia mwilini huweza kuleta madhara.

*Mafuta yanayopatikana kwenye nyama yanaongeza uzito kupita kiasi na huenda kuziba mishipa ya damu, ikiwa ni ya kichwani utapooza mwili na ikiwa ni kwenye moyo utapata ‘heart attack’

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.