Mazingira wanayopitia wanafunzi Shule ya Msingi Matuli

Wanaishi kwa kuweka chumvi kwenye choo kilichojaa ili waendelee kukitumia

Mtanzania - - Kisima Cha Ujuzi - Na ASHURA KAZINJA - MOROGORO

SHULE za msingi katika halmashauri ya wilaya ya Morogoro zinakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zinafanana toka shule moja hadi nyingine.

Changamoto hizo zimesababisha wanafunzi kukosa mazingira mazuri ya kusomea na hata usalama wao kuwa mdogo au kukumbwa na magonjwa ya mlipuko.

Miongoni mwa shule zinazokabiliwa na changamoto hizo ni Shule ya Msingi Matuli iliyopo katika Kijiji cha Matuli, Tarafa ya Ngerengere mkoa wa Morogoro.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.