DONDOO

Mtanzania - - Biashara Na Uchumi -

1. Mkurugenzi Mwendeshaji wa Nakumatt ambaye pia ni mmiliki, anasisitiza nia yao ni kuungana (merger) na CAK wajibu wake mkuu ni kuzuia matendo ambayo yatapunguza ushindani na hivyo kuwadhuru walaji. Kuungana ni mojawapo wa matendo yasiyotakiwa.

2. Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania, Yussuf Manji, inasemekana anaonesha nia ya kuchukua biashara ya Nakumatt kutokana na maelezo ya umoja wa wafanyabiashara wanaofanya ugavi kwa maduka makubwa ambao wanaona ni heri kwa madai yao ya zaidi ya Sh bilioni saba kwa Uchumi na Nakumatt ambayo yamekwama.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.