Agripina: Serikali ijenge shule za walemavu mikoani

MZALENDO - - KIPANGA - NA REHEMA MAIGALA

WATOTO wana haki ya kupata malezi bora kutoka kwa wazazi wao elimu na afya bora ili aweze kuishi katika msingi bora maisha.

Agripina ni msichana (27), anayeishi mkoani Morogoro, aliyekosa msingi mzuri wa maisha kwa sababu ya kukosa elimu kutokana na kuungua moto na baadhi ya viungo vyake vya mwili kuungua na kumsababishia ulemavu wa kudumu na kukosa elimu.

Msichana Agripina mpaka hivi sasa anasumbuliwa na ugonjwa wa kifafa ambao umemsababishia kuungua moto kutokana na kuanguka kila wakati.

Mwaka 1996, Agripina alipokuwa na umri wa miaka mitano aliungua moto ambao mama yake alikuwa ameutayarisha kwa ajili ya kupika chakula cha jioni.

NIANZE mraba wangu huu wa wiki hii, kwa kuwapa pole majirani zetu wananchi wa Burundi kufuatia mauaji ya Waziri wa zamani wa Habari na Msemaji wa Serikali ya Burundi, Hafsa Mossi, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika.

Hadi sasa watu zaidi ya 300 wameuawa nchini Burundi, tangu yalipoanza machafuko nchini humo, Aprili, mwaka huu, baada ya jaribio la kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunzinza, akiwa nchini Tanzania kufeli.

Hafsa ambaye alikuwa ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), aliuawa Julai 13, mwaka huu saa 4.30 asubuhi, katika barabara ya Gihosha, eneo la Nyankoni jijini Bujumbura.

Umefika wakati sasa wananchi wa Burundi hakikisheni mnakomesha mauaji hayo ambayo hivi sasa yameanza kuota mizizi nchini mwenu.

Marehemu Hafsa pia aliwahi kuwa Mtangazaji maarufu wa Idhaa ya Kiswahili ya Shirika la Utangazaji la BBC, na mauaji yake yamelaaniwa sehemu mbalimbali duniani

Agripina anasema wakati huo alipokuwa anateketea na moto alikuwa hana fahamu na mama yake alikwenda kisimani kuchota maji.

Agripina anasema aliungua na moto huo kwa dakika 15 mpaka mama yake aliporudi kisimani alikuta tayari ameshaungua vidole vyote vya mkono wa kulia na vidole vya mguu wa kushoto.

Agripina anasema baada ya hapo alilazwa hospitali taklibani miezi mitano kwa ajili ya kuuguza majeraha aliyoyapata.

Hata alivyotoka hospitali alikuwa hawezi kufanya chochote kutokana na majeraha aliyokuwa nayo ambayo yamemsababishia ulemavu mpaka leo hii.

Anasema alipofika umri wa miaka saba alimuomba mama yake ampeleke shule, baada ya kuona wenzake wanakwenda shule, alipelekwa lakini walimu hawakumpokea kutokana na kwamba kifo cha mbunge huyo si cha haki hata kidogo, kwani hakuwahi kujihusisha na migogoro ya aina yoyote katika nchi hiyo.

ìTunalaani kwa nguvu zote mauaji ya mbunge mwezetu kwani ni kitendo cha kinyama na tunatoa wito kwa waasi kusitisha ghasia na kukaa katika meza ya mazungumzo kutafuta suluhu,î.

Hiyo ni kauli iliyotolewa na Mbunge wa Jumuia ya Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Kikanda na Usuluhishi wa Migogoro kutoka katika Bunge hilo, Abdallah Ally Mwinyi.

Hivi ni nini hasa kinachoendelea kuitesa Burundi?Viongozi wa Jumuia ya Afrika Mashariki lifanyieni kazi suala hilo.

Naye mbunge wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo, Nderakindo Kessy, alisema wamesikitishwa na mauaji hayo ya kikatili aliyofanyiwa mbunge mwenzao,na kuomba haki itendeke na kuwapata wale ambao wamehusika na mauaji hayo na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Kessy alisema na majeraha aliyokuwa nayo ambayo yalimsababishia kutotembea vizuri na alikuwa hana uwezo hata wa kushika kalamu kwa ajili ya kuandika.

Agripina anasema aliumia hasa akiwaona wenzake wanarudi kutoka shule na yeye akiwa yupo nyumbani amekaa bila ya kufanya shughuli yoyote.

Miaka ilienda Agripina akawa msichana mkubwa, lakini alikuwa hajui kusoma wala kuandika kutokana na kukosa elimu.

Anasema mpaka hivi sasa amekuwa ni mtu wa kuishi wa kutegemea misaada kutoka kwa ndugu zake.

Anasema anaishi maisha magumu kutokana na ulemavu aliokuwa nao .

Pia, anasema baadhi ya watu wanamnyanyapaa kutokana na hivyo alivyo.

Agripina anasema hata yeye hakupenda kuwa hivyo alipenda asome na kuwa familia yake na maisha mazuri wamesikitishwa na mauaji hayo na kuahidi kwamba watakayaendeleza yale yote aliyoyaacha mbunge huyo, hasa katika kupambana na haki za wanawake na watoto.

Ni wakati sasa wa wananchi wa Burundi, kuyakataa na kuyalaani mauaji hayo ya viongozi wa kisiasa na maofisa wa juu wa jeshi la nchi hiyo, ambao wanaonekana ama kudaiwa kumuunga mkono, Rais Pierre Nkurunzinza, kuendelea kuuawa katika matukio ya kupigwa risasi.

Ni vyema wana-Burundi wakaa chini na kujiuliza hivi kwa matukio hayo mfululizo, ya viongozi wao kuendelea kuuawa kwa kupigwa risasi barabarani, huku wengine wakiviziwa kwenye nyumba zao.

Wanachotakiwa chini kwenye mazungumzo ili ufumbuzi matatizo.

Meza ya mazungumzo ndiyo ipewe kipaumbele kikubwa cha kufikia muafaka wa kudumu ni kukaa meza ya kuyatafutia kama wengine.

Hata hivyo, Agripina anaiomba serikali kuanzisha shule za wanafunzi walemavu mikoani ili watoto walemavu wanaohitaji kusoma nao wapate elimu.

Anasema hivi sasa kuna watoto wengi wenye matatizo kama yeye, lakini wanakosa elimu kwa sababu ya uchache wa shule hizo hapa nchini.

Elimu ni ufunguo wa maisha hivyo hata mtoto mlemavu ana haki ya msingi ya kupata elimu ili hapo baadae aweze kumudu maisha yake.

Wapo baadhi ya wazazi na walezi wenye tabia ya kuficha watoto walemavu wakidai kuwa ni mkosi katika familia .

Wengine hudiriki hata kuwaua na watoto hao, hivyo hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao kwa wale wote wenye tabia ya kuwanyanyapaa watoto hao kwa kuwa nao wana haki yao ya msingi na kupata elimu. wanavyoishi wa kuzipatia ufumbuzi kero walizonazo, lakini kwa hali hiyo ya kuendelea kujitokeza kwa mauaji ya viongozi , kimsingi sioni kama wanajenga bali wanazidi kuharibu zaidi.

Kumbukeni mpo ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki, ambayo ina wanachama mamilioni, hivi kweli mmeshindwa kuomba msaada wa kuisaka amani na utulivu ndani ya nchi yenu.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, ameteuliwa na viongozi wa Kanda kuongoza mazungumzo, na ametoa wito kwa upande wa serikali kutochukua msimamo mkali.

Rais Museveni ametamka wazi bila kificho kwamba ni kweli wanaoipinga serikali ya Rais Nkurunzinza wanaweza kuwa waharifu lakini kwa sababu za kuleta amani, ni vyema watu hao wapewe kinga ya muda.

Chonde Rais Nkurunzinza, jaribu kukutana na makundi yote yanayokupinga, ili kuokoa chonde watu kama siyo kuzinusuru roho za watu wako wasio na hatia zinazoendelea kuteketea kila kukicha, kwani mara zote kiongozi bora ni yule anayekubali mapatano na maelewano ndani ya nchi yake, ili kuwalinda raia wake

Huo NI MTAZAMO. suney27@yahoo.com au 0713-349299.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.