JPM atengua uteuzi Mkurugenzi B’moyo

MZALENDO - - HABARI - NA MWANDISHI WETU

RAIS Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashairi ya Wilaya ya Bagamoyo.

Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhandisi Musa Iyombe, ilisema Rais Dk. Magufuli ametengua uteuzi wa Azimina Mbilinyi baada ya kutoridhishwa na utendaji wake wa kazi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.