wa kungaliwa England

Wam Stones, Mkhitaryan, Mane

MZALENDO - - MAKALA -

KILA msimu, baadhi ya vyombo vya habari hususani nchini Uingereza, hufuatilia usajili wa nyota wa England, ambao mashabiki wangependa kuwaangalia.

Wachezaji 10 msimu huu ambao mashabiki wa kabumbu watavutiwa nao katika msimu wa 2016/2017 ni hao;

10: John Stones (Manchester City)

Watu wamekuwa na pupa sana ya kukosoa yanayofanywa na John Stones awapo uwanjani.

Mashabiki na watu wengine, wamekuwa wakifanya hivyo, hasa nyota huyo anapofanya makosa uwanjani.

Anaonekana ndiye beki mahiri wa kati ambaye ni zao la ligi kuu ya England kwa muda mrefu. Anapaswa kuachwa kutekeleza majukumu yake, watu wasimzodoe.

Ataendelea kuwa beki tegemeo ndani ya Manchester City baada ya klabu hiyo kumnasa akitokea Everton kwa dau la pauni milioni 47.5.

Kutokana na umahiri wake, kocha mpya wa timu ya taifa ya England, Sam Alladyce anapaswa kumtupia jicho la ziada wakati atakapoimarisha timu yake.

9: Jordon Ibe (Bournemouth)

Huenda Liverpool ikawa imefanya makosa makubwa kumuachia nyota huyo aondoke Anfield. Imeonekana kwa wachezaji wengine nyota duniani kama Paul Pogba na Kevin De Bruyne, wachezaji chipukizi wa aina hiyo, wakati mwingine huamua kuachana na hatua kwa ajili ya mafanikio.

Hatua ya kujiunga na Bournemouth ni nzuri n a yenye faida kwa Ibe.

Angeweza kuendelea kubaki Liverpool na kujiwekea fedha kibindoni kwa kukaa kwenye benchi, lakini kuondoka kwake, kutamfanya awe nyota tegemeo katika kikosi hicho cha kocha Eddie Howe.

Anategemewa pia kuisaidia timu ya taifa ya England, chini ya Big Sam.

8. Sadio Mane (Liverpool)

Sadio Mane, amesababisha matatizo mengi wakati akiichezea klabu ya Southampton dhidi ya Liverpool.

Hata hivyo, haikushangaza kwake kuamua kutua Anfield, kwa ajili ya msimu ujao wa 2016/2017.

Winga huyo atapaswa kudhihirisha thamani yake ya pauni milioni 30 ambayo majogoo wa jiji la London, wametoboka mifuko kuhakikisha nyota huyo wanamtia kwapani.

Pamoja na makosa hayo, amejizolea mashabiki wengi na kufanya afanikiwe kuvunja rekodi ya Robbie Fowler kwa upigaji wa hat-trick.

Liverpoolk kwa muda mrefu, wamekuwa wakimhitaji mtu ambaye atakuwa mahiri kwa kupiga krosi za kutafuta mabao. Adam Lallana na Philippe Coutinho wanajaribu kufanya hivyo, lakini Mane ataipa Liverpool ladha tofauti.

7: Andre Gray (Burnley)

Hizi ndizo habari ambazo wengi wangependa kuzisikia. Misimu mitatu iliyopita alikuwa kwenye ukumbi kama mchezaji wa Luton, kwa sasa atang’ara ligi kuu ya England.

Mfano, Jamie Vardy, kila mchezaji ambaye hachezi ligi kuu ya England, watakuwa wakimfuatilia na kujipa matumaini kwamba kila kitu kinawezekana katika soka. Gray anakumbusha watu kuhusu washambuliaji ambao ni mahiri kwa kucheka na nyavu.

Ameonyesha njaa aliyonayo ya kufunga mabao kwa kuongeza nguvu ya ziad akicheza na washambuliaji wakubwa.

Tayari umewekwa mpango kuhakikisha viwango vya washambuliaji vinaboreka.

Kwa hivi sasa, Burnley wanapaswa kutengeneza fursa kwake kwa ajili ya kutumia kipaji chake kwa maslahi ya klabu hiyo.

6: Granit Xhaka (Arsenal)

Mchezaji huyo ni mzuri kwa kutuwa kushoto. Mchezaji wa mwisho wa enewa Arsenal, anayekumbukwa alikuwa ni Etit. Mchezaji huyo alicheza mechi n ya Manchester United, amekuwa akionyah uhakika kupitia soka. Akiwa si mchezaji anayetaka hi, nyota huyo mwenye miaka 23, anawna na Aaron Ramsey na Santi Cazofu ya kiungo chini ya kocha wa klabne Wenger. Mashabiki hawataweza kuka mchezaji huyo wa Uswisi aliye pauni milioni 30, huenda makubwa.

5: Reece Oxford (West Ham

Kama kulamb dume, basi West Ham hawana cha

kujilaumu kupata saini ya chipukizi

Ni mchezaji mwenye ya juu katika usakataji ka Amekuwa wakifuata nyayo aji wa beki nguli wa Manchest Rio Ferdinand.

Kama John Stones thamani ya kufikia pa 50, hebu fikiria Ox kwanza ana miaka 17. Anaweza thamani ya Ston

miaka mitatu au minneni

mchezaji wa kutegemewa nd miaka ya baadae.

Kocha wake, Slaven Bilic anafahamuini kwamba nafasi yake ya beki wa kati. utaonekana katika michuano ya ulaya. Nwa kati, si kiungo. James Tomkins aliuzwa ili krd kutumika katika kikosi cha kwanza. Ulijili makini.

4: Nampalys Mendy (Leiceste

Akiwa na N’Golo Kante kwenda kujiurea Mendy hana viatu vikubwa vya kumtosha.

Kante na Danny Drinkwater, walikuwa zaidi msimu uliopita.

Changamoto anayopata Drinkwaterza ushirikiano mzuri wake na Mendy. Ceri anafahamu fika kuhusu mchezaji huyo raisa tangu alipokuwa akiifundisha timu Anamuamini, alionyesha kuvutiwa naye tya kiangazi yaliyopita.

Mashabiki wanasubiri kuona kama atala mzuri wa Kante ambaye aliipa mafanikioty msimu uliopita.

3: Vincent Janssen (To enha

Wiki iliyopita, nyota na kocha maaruflit alikuwa akimzungumzia Janssen. Alihi kumuongelea Luiz Suarez, hivyo Jansse atakuwa hivyo.

Gullit anayefundisha soka Uholanzino mingi akimfananisha mchezaji huyo naeja

Kezman na Dennis Bergkamps. Akasema Janssen ndiye anayefuata.

Anatumia mguu wa kushoto, Janssen ataisaidia vyema timu yake akishirikiana na Harry Kane. Pamoja na kwamba hataanzishwa kila mechi, ni mchezaji mzuri akitokea benchi.

2: Henrikh Mkhitaryan (Manchester United).

Ni mchezaji anayevutia kuangaliwa awapo uwanjani. Amechukua nafasi, ni mtu mwenye kipaji cha soka cha uhakika, sijawahi kuona wa aina hiyo kwa muda mrefu. Mkhitaryan, aliwezesha nafasi 14, msimu uliopita katika klabu ya Borrusia Dortmund, the most in the Bundesliga. Hofu kubwa kwa mashabiki, wanajiuliza ni nafasi gani ambayo mchezzaji huyo atatumika. Pamoja na kucheza namba 10, atakuwa na kazi ya kuwania namba akiwa na Paul Pogba na Wayne Rooney.

1: Leroy Sane (Manchester City)

Amekuwa nyota anayefuatilia namna ya uchezaji wake kwa misimu kadhaa sasa, hasa alipofunga dhidi ya Real Madrid na Schalke 04 katika michuano ya ligi ya mabingwa ulaya. Ilikuwa ni mara yake ya kwanza katika hatua hiyo kwa mashindano ya ulaya, lakini ana kipaji ambacho mashabiki hawachoki kumuangalia.

Akiwa ndiyo kwanza ana miaka 20, ana uwezo wa kujenga mashambulizi, kumiliki mpira na kuwa na uamuzi wa haraka uwanjani.

Manchester City kwa sasa ina wachezaji nyota chipukizi kadhaa kama Sane, Kevin De Bruyne na Ilkay Gundogan. Wote wana miaka 25.

Sane, anahitaji muda aweze kufanya makubwa katika ligi kuu ya England.

Sadio Mane Andre Gray Jordon Ibe

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.