28Samatta kuwania tuzo Mwanasoka bora Afrika

MZALENDO - - MICHEZO -

MSHAMBULIAJI wa kimataifa, Mbwana Sama a ni miongoni mwa wachezaji 30, watakaowania tuzo ya Mwanasoka bora wa Afrika inayoandaliwa na Shirikisho la soka barani humo (CAF).

Mbwana, mchezaji wa zamani wa Simba na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), atachuana na Victor Wanyama anayekipiga katika klabu ya To enham inayoshiriki Ligi Kuu ya England.

Sama a anayecheza soka ya kulipwa klabu ya Genk ya Ubelgiji, ameisaidia timu hiyo kufuzu ligi ya Europa.

Orodha ya wachezaji walioteuliwa walioteuliwa kuwania tuzo hiyo huku nchi na klabu wanazochezea kwenye mabano ni Yannick Bolasie (DRC & Everton), Riyad Mahrez (Algeria & Leicester City), El Arabi Hillel Soudani (Algeria & Dinamo Zagreb), Islam Slimani (Algeria & Leicester City), Samuel Eto’o (Cameroon & Antalyaspor), Benjamin Mounkandjo (Cameroon & Lorient), Serge Aurier (Cote d’Ivoire & PSG), Eric Bailly (Cote d’Ivoire & Manchester City), Yao Kouasi Gervais ‘Gervinho’ (Cote d’Ivoire & Hebei Fortune) na Mohamed Salah (Egypt & Roma).

Wengine ni Mohamed El Neny (Misri & Arsenal), Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Dortmund), Andre Ayew (Ghana & West Ham),Victor Wanyama (Kenya & To enham), William Jebor (Liberia & Wydad Athletic Club), Mehdi Benatia (Morocco & Juventus), Hakim Ziyech (Morocco & Ajax), John Mikel Obi (Nigeria & Chelsea), Kelechi Iheanacho (Nigeria & Manchester City), Ahmed Musa (Nigeria & Leicester City) na Cedric Bakambu (DR Congo & Villareal).

Wamo pia Yannick Bolasie (DR Congo & Everton),

Sadio Mane (Senegal & Liverpool), Kalidou Koulibaly (Senegal & Napoli), Keegan Dolly (Afrika Kusini & Mamelodi Sundowns), Itumeleng Khune (Afrika Kusini & Kaizer Chiefs), Mbwana Sama a (Tanzania & Genk), Aymen Abdennour (Tunisia & Valencia),

Wahbi Khazri (Tunisia & Sunderland), Dennis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns) na Khama Billiat (Zimbabwe & Mamelodi Sundowns).

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.