UBAHILI WA ARSENAL WAMKIMBIZA RONALDO

Kumbe ilikuwa atue kwa mzee Wer Dili ilisukwa na msaka vipaji wa Anal Ferguson hakupepesa, akamtia kpani

MZALENDO - - JILIWAZE -

LINAPOTAJWA jina la Diego Maradona, kila shabiki wa soka anafahamu ni nani na ana umaarufu gani katika medani ya mchezo huo duniani.

Maradona ni miongoni mwa wanasoka wa chache wa miaka ya nyuma aliyewahi kutamba enzi yake akiwa uwanjani.

Mpaka sasa kuna ubishi wa nani mfalme wa soka kati ya Maradona na Pele. Kila shabiki ana mtazamo wake katika hili.

Wapo wanaoamini Pele ni zaidi ya kila mwanasoka aliyewika duniani miaka ya zamani, lakini kuna watu hawaambiwi, wala hawasikii. Wanamkubali Maradona kupindukia.

Hata hivyo, Maradona na Pele kila mmoja alionyesha uwezo mkubwa wa kusakata kabumbu tofauti na wachezaji wa sasa.

Wachezaji wa miaka hiyo walicheza kwa kujituma na kuonyesha moyo wa kupata mafanikio ya klabu au binafsi.

Hicho kilikuwa kizazi cha Maradona na Pele. Lakini, miaka ya sasa mvutano kama huo, upo unaowahusu Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

Ronaldo anayecheza klabu ya Real Madrid ya Hispania anafahamika uwezo wake uwanjani. Ameendeleza makali yake ya kufumania nyavu aliyotokanayo Man United hadi Santiago Bernabeu.

Messi naye hakuna asiyefahamu shughuli yake. Unapoitaja Barcelona, hainogi bila nyota huyo. Kuna imani hiyo kwamba Barca ni Messi.

Ubora wa wanasoka hao, unajidhirisha wazi hata kwenye tuzo za kuwania ubora wa soka wa dunia zinazoandaliwa na Shirikisho la mchezo huo Ulimwenguni (FIFA), Ronaldo na Messi huchuana vikali.

Hakika ni wapinzani hasa uwanjani. Upinzani wenye faida ya kila mmoja kutaka kuwa zaidi ya mwenzake.

Mwanasoka nguli Maradona anasema Ronaldo na Messi hakuna cha kuchagua kutokana na upinzani wao ulivyo.

Upinzani wa soka kwa wawili hao, umezidi kushika kasi ulimwenguni katika kipindi cha muongo mzima.

Akifafanua, Maradona, Messi ameshinda mataji manane ya Ligi Kuu ya Hispania na mataji manne ya Ligi ya Mabingwa katika kipindi cha miaka 12 kama mchezaji mwendamizi ndani ya Madrid.

Ronaldo, aliyetwaa mataji manne ya ligi kuu ya England wakati akiichezea Man United na Ligi ya Hispania, ligi ya mabingwa anakuwa katika mazingira mazuri ya kung’ara mwaka huu.

Ronaldo, nahodha wa timu ya taifa ya Ureno, aliiongoza vyema timu yake kutwaa ubingwa wa michuano ya Euro 2016 iliyochezwa nchini Ufaransa.

Aidha, Messi amepoteza mataji yote manne makubwa akiwa na timu ya taifa ya Argentina, lakini Maradona bado anaamini nyota huyo bado ni mkali kwa Ronaldo.

“Hawa wachezaji wawili ni zaidi ya wengine. Messi si zaidi ya Ronaldo au kinyume chake,” Maradona analiambia gazeti la Marca.

Anaongeza kusema: “Ronaldo siku zote amekuwa akionyesha mafanikio makubwa, mwaminifu, hainifurahishi kuona Messi ameshindwa kutwaa ubingwa wa dunia. Inatosha kwa hilo!

“Kama huna mwonekano mzuri wala huimbi wimbo wa taifa, kwa kweli utawekwa kando.

“Messi alikuwa sahihi kuachia ngazi kuichezea timu ya taifa ya Argentina katika kipindi cha majira ya kiangazi. Amerejea, bado anapata upinzani kutoka kwa mashabiki wakikosoa uwezo wake.

Kimsingi, mafanikio ya timu ya taifa ya Ureno, yamemuweka Ronaldo katika nafasi nzuri kwa miaka kadhaa sasa.

Hali hiyo inaweza kubadili upepo katika mchuano wa kusaka tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka. Naweza kutwaa tuzo hiyo mara ya nne, ikilinganishwa na Messi aiyeshinda mara tano.

Ingawa, Maradona alisema kwenye tuzo kwamba: “Binafsi, tuzo ya mwanasoka bora haiko sawa. Mfano mwaka 2014, Manuel Neuer aliingia kwenye mchuano na Messi na Ronaldo.

“Neuer angeweza kushinda kwa sababu aliisaidia timu yake ya Taifa ya Ujerumani kunyakua ubingwa wa dunia!”

Lakini, Neymar anayecheza Barcelona pamoja na Messi, alitwajwa kuwa mchezaji mahiri na hata Maradona akamsifu kwa namna anayevyocheza uwanja.

“Ronaldo na Messi kwa sasa hawako tena katika mbio za farasi pamoja, wako watatu wanaoshindana kwa ajili ya ushindi,” anasema Maradona.

Ameongeza kusema: “Ninafahamu kwamba Brazil haikuweza kusimama bila ya Rivaldo, Ronaldinho, na Kaka, sasa Neymar anawafurahisha mashabiki na kuing’arisha Brazil.

“Napenda kumuangalia akicheza, unaweza kumtumia hata mara 200, bado atakuwa na u kukimbia na kulind tena.”

Pamoja na kwenda Real Ma uhamisho wa akitokea Mancheste inaelezwa kuwa huyo, ilikuwa atue Arsene Wenger.

Mtaalamu wa za kusaka vipaji wa Damien Comolli aliyetoboa siri h kusema, Arsenal imsajili Ronaldo.

Comolli aliku dhamira ya kuisai hiyo ya Emirates n ichezea michuano y

Comolli, raia wa ndiye alikuwa wa kumuibua mshamb zamani wa Arsena Henry.

Pia, ndiye aliye ujio wa Kolo Tour Clichy kutua Arsen

Ingawa, kulik tofauti ndani ya with Comolli reve north London sid out on Ronaldo.

Arsenal, il kumvuta nyota h Madrid mpaka kati wao na kufanya nae lakini usajili ul kufikiwa kutoka ukosefu wa fedha.

Akizungumza luninga ya Ufarans SFR ya michezo, amesema: “Kwa ya kwanza nili Ronaldo, alikuwa michuano ya akiwa na miaka 15.

“Alikuwa mechi dhidi ya Jap nikajiuliza: ‘Ni mc

aina gani huyu?’

“Wakati wa mapumziko, nilifanya mawasiliano na Ureno na kusema nimemuona mchezaji mwenye kipaji cha soka.

“Tangu Thierry Henry, ndiyo namuona huyu sasa.

“Alikuja mara mbili mazoezini kwetu. Hakuna aliyejua hilo. Alikutana na Thierry ambaye alikuwa akimkubali.

“Sasa ilipofika wakati wa kufanya usajili, hakukuwa na fedha hivyo, Arsenal kumkosa Ronaldo.

“Miezi kadhaa baadae, Manchester United ikafanya uhusiano na klabu ya Sporting ya Ureno, timu hizo zikacheza mechi ya kirafiki katika jiji la Lisbon.

“Kocha wa Man United wakati huo, Sir Alex Ferguson alisema: ‘Ni lazima aende Manchester United.’

Manchester United iliamua kumsajili Ronaldo baada ya kuwavutia wakati wa mechi ya kirafiki.

Nyota wa Manchester United, walimshauri Ferguson kumsajili Ronaldo.

Ronaldo, amekuwa nyota mwenye ushindani wa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa dunia, akichuana na Messi.

Damien Comolli

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.