MAFANIKIO KATIKA AKILI YANGU

MZALENDO - - HADITHI - Email: msangifabian@gmail.com

Hiki ni kitabu ambachokimejawa na matumaini,[motivation pamoja na inspiration] kwa vijana ambao walio na uthubutu katika maisha.mwandishi ame amua kufikisha ujumbe kwa vijana. ilikuwapa moyo na faraja,pia kitabu hiki kimezungumzia kwakiasi flani maisha halisi ya mwandishi wa kitabu hiki, fuatilia hadithi hii kutoka kwa mwandishi; PHABIANI MSANGI THE INTER NATIONAL AUTHOR, Shukrani kwa wafuatao; kanengo rashidi, fredriki bundala, onesphol gabrieli, wadogo zangu na familia yangu kwaujumla, dadaangu, deo kabuje, lilian nyato, dk chris mauki, noeli tenga, vedastus lauliani, kwakuendelea kunipa moyo na kunipa msaada mbalimbali asante na mungu azidi kuwabariki.

Ni asubuhi yenye kupendeza jua likiwa lime chomoza,kuashiria siku nyingine, ime wadia noel alikuwa amebeba begi lake mgongoni akielekea shuleni. lakini alionekana kuwa ni mtu mwenye mawazo mengi sana nyuma yake alikuwa akija mzee alikuwa akiendesha baiskeli huku akipiga mruzi. Bahati mbaya aka msogelea na kumukwangua na baiskeri, maeneo ya mguuni noeli hakuongea chochote alikaa kimya ‘’kijana samahani’’ alisema yule mzee huku akishuka kutoka kwenye baiskeri. ‘’bila samahani mzee’’ alisema noeli hukuakitembea kwaku chechemea.yule mzee alipo mwangalia usoni noeli aligundua ana msongo mkubwa sana wa mawazo.’’lakini mbona una mawazo mno?’’ aliuliza Yule mzee lakini noeli akawa mzito kuongea. naakamjibu ‘’hamna mzee’’ aliongea kwakutabasamu kijana noeli ‘’punguza mawazo, mawazo ya nini wewe ungali kijana mdogo’’ alisema Yule mzee mwenye baiskeli kisha aliondoka na kumuacha noeli akiwa amesimama njiani, noeli alikuwa mwanafunzi kidato cha sita katika shule ya sekondari ya nsumba, noeli alikuwa ametokea familia ya watu wa maisha ya chini kabisa.Mama yake alikuwa muuza pombe za kienyeji.Baba yake alikuwa amewatelekeza tangia walipokuwa wadogo, ‘’maisha haya najuwa iposiku nita yaacha’’ aliwaza akilini mwake kisha akaondoka kwenda darasani noeli alikuwa na ndoto kubwa sana, katika mpangilio wa maisha yake alikuwa akiwaza siku moja kuwa mwandishi mzuri wa vitabu. Lakini pia alipenda kuwa mwanamuziki, ‘’noeli?’’ alimuita msichana mmoja ambae aliye kuwa akisoma nae, aligeuka na kumuitikia kwa upole ‘’namm’’ hukuakiwa bado angali amegeuka, Yule binti nae alikuwa kavaanguo nzuri. Madaftari yake alikuwa kayaweka katika mafaili. Nakuya shikilia mkononi,’’duuuh! leo tumechelewa’’ alisema Yule binti.

‘’sikuzote hazilingani’’ alisema noeli kwa utaratibu hukuwakitembea mwendo sanjari na ule wa Yule binti, ambae waliyekuwa wakisoma nae.’’kazi ya mwalimu ulifanya?’’ aliuliza Yule binti noeli akamjibu na kumwambia ‘’mimi natamani kumaliza shule’’ alisema noeli hukuakiwa amekata tamaa na maisha ya kuuza pombe ya pale yumbani kwao huku hali ya biashara hiyo ikiwa mbaya sana kutokana na polisi kumsumbua sana mama yake.kila siku polisi walikuwa hawaishi kuja nyumbani kwao na noeli, ‘’sijaifanya kazi yake’’alisema noeli

‘’mwalimu ata gombana sana’’aliongea Yule binti aki mwonea huruma noeli.

‘’ila baadae nitafanya’’ alisema noeli uwezo wa kimasomo alikuwa nao mkubwa sana, tatizo ni umasikini uliokuwa umekithiri, noeli kila siku jua linapo zama na kuchomoza alikuwa akiwaza atafanya nini iliaweze kulipa deni ambalo alilokuwa akidawaiwa shuleni,’’dah! Maisha magumu’’ aliongea hukuakiwa anashusha pumzi yake kwanguvu. Noeli karibia kila ngazi ya elimu alikuwa akipitia changamoto nyingi mno,walianza kuingia katika eneo la shule, kwambali walianza kuona walimu wakiwa wamesimama. Pomoja na mwasibu wa shule, wao pomoja na kuwa mbali lakini walikuwa wamesha muona noeli, ‘’hivi huyu kijana amegoma kutowa pesa?’’aliuliza mwalimu mmoja,

‘’sijui naona yuko kimya mno’’ waliendelea kumjadili noeli na kila iliyoitwa leo noeli alikuwa akiitwa ofisini. kusoma kwake hakukuwa kwa raha hata kidogo,aliishi kwa wasiwasi noeli alipokuwa shuleni.’’nitafanyeje? ...... nitafanyeje?’’ ndio lilikuwa swari lake kila siku kijana noeli alipokuwa akitembea alipofika sehemu yenye uwazi walimu wake wakamuita, ‘’noeli?’’

‘’nammm mwalimu?’’ aliitikia kwa upole hukuakiwa anageuza shingo yake, alikuta niwale walimu wake ambao kila siku walikuwa waki msumbuwa shuleni.’’aiseee narudi nyumbani’’ ndilo wazo lililomuingia kichwani kijana noeli kwaharaka, pamoja na kupitia mambo yote hayo lakini bado noeli aliamini kuwa ipo siku matatizo yataenda kuisha.’’wewe pesa tunayo kudai umelipa?’’aliulizwa na mwasibu wa shule,

‘’hapana’’ alijibu kijana noeli mwalimu mkuu aliweza kutowa amli ya noeli aweze kufukuzwa, ‘’mwalimu huyu arudi nyumbani’’ aliongea hukuakiwa amelishikilia begi la noeli,noeli anafukuzwa kurudi tena nyumbani kwao. kufukuzwa kwa noeli ilikuwa imesha kuwa kawaida hata mwanafunzi mwenzake ilifikia hatuwa waliona

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.