Matumi

Rai - - MAKALA - NA MANENO SELANYIKA

wawakilishi wa makampuni makubwa duniani ambayo yamekuwa yakijishuhgulisha na utengenezaji simu hapa nchini.

Meneja wa Huawei nchini Tanzania, Hu Xiangyang Jacko, anasema kuwa licha ya kwamba mwaka huu haukuwa wa kibiashara kwenye bidhaa za simu, anakiri kuwa Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimekuwa na soko kubwa la bidhaa za simu, jambo ambalo linawafanya kufikiria kuwekeza zaidi hapa nchini ikilinganisha na maeneo mengine.

“Ni wazi kuwa kwa mwaka huu, biashara ya simu ilishuka kwa kiwango cha juu jambo ambalo lilichangiwa na watu kutokuwa na fedha, hata hivyo kama Huawei hatujaathirika sana na hili kwani tumekuwa nafasi ya tatu sokoni kwa mujibu wa ripoti mbalimbali.

M

AWASILIANO kwa njia ya simu ni moja kati ya vitu vinavyorahisisha kupatikana kwa huduma mbalimbali na kwa wakati hivyo kuongeza ubora na ufanisi wa mawasiliano hayo.

Katika miaka ya zamani hapakuwapo na huduma za simu kama ilivyo sasa kwa hali hiyo watu walikuwa wakiwasiliana kwa kutumia njia ya barua ambayo ilikuwa inachukuwa muda mrefu kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

RAI wiki hii kwa nyakati tofauti limefanikiwa kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam ambao walieleza ni namna gani wanavyonufaika na matumizi ya huduma za simu za mikononi. Na haya ni baadhi ya maoni yao.

1. Geofrey Ligoma, mkazi wa Kigogo Luhanga, anasema yeye amenufaika kutokana na matumizi ya mawasiliano hayo kwa kuwa mara nyingi amekuwa akitumia kwa ajili ya kutoa na kupokea ujumbe kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.

“Nina muda mrefu natumia simu mbali na kuwasiliana na ndugu pia nimekuwa nikiitumia

i

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.