zaanza kwa wapinzani wa Kagame

Rai - - MBELE -

Mwishoni mwa mwezi ulipita Padre Thomas Nahimana wa Kanisa la Kikatoliki alizuiliwa kupanda ndege katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Nairobi akielekea Kigali, Rwanda. Nahimana ambaye aliondoka Rwanda miaka 11 iliyopita na kuishi uhamishoni nchini Ufaransa alikuwa anakwenda Rwanda kukiandikisha chama chake cha Ishama.alichokianzisha.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.