Wasanii wa kike kuja kivingine 2017

Rai - - MBELE -

Wasanii wa kike kutoka tasnia ya filamu nchini maarufu kama ‘filamu za kibongo’, wako katika mi- kakati ya kuhakikisha mwaka ujao wa 2017 unakuwa wa ufanisi na mafanikio kwa walio wengi. Ili kuhakikisha hilo linafanikiwa wasaniihao wameunda umoja wao ambao kwanza utashughulika na kuleta mapinduzi makubwa katika tasia hiyo kuanzia kielimu hadi kiuchumi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.