Chadema ni ‘watakatifu’

Rai - - MBELE -

NIMEBUTWAISHWA na kitendo cha kubainika Diwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Julist Kisoma kuwa hajui kusoma wala kuandika. Taarifa hiyo iliripotiwa na gazeti la Mtanzania Jumapili, Desemba 18, mwaka huu. Taarifa hiyo ilieleza kuwa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Mafinga, mkoani Iringa, lilichukua uamuzi wa kumsimamisha diwani huyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.