2016 ilivyoziduwa

Rai - - MAKALA - NA MWANDISHI WETU

M

waka 2016, unaelekea ukingoni. RAI lijalo litachapishwa katika mwaka mpya wa 2017. Kwa lugha nyingine makala hii ni ya mwisho kwa gazeti la mwaka huu. Mwaka umeenda na mengi lakini kubwa unaweza kufanya kuwa, ni hali ya kutokuwepo majibu ya moja kwa moja ya nini kinafanyika, nini kinatakiwa kufanyika na namna ya kukifikia hicho kinachohitajika.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.