Mwaka wa kwanza kwa JPM na mitikisiko ya aina yake

Rai - - MBELE -

Tangu ujio wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi, hakuna mwaka (ambao ni wa kwanza kwa rais mpya aliyechaguliwa mwaka uliotangulia) ulioingia kwa mtikisiko mkubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kama mwaka huu wa kwanza wa Rais John Magufuli. Ni tofauti kabisa hali ilivyokuwa miaka ya kwanza ya urais wa Benjamin Mkapa (1996) na Jakaya Kikwete (2006).

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.