Jaji Lubuva, tuna mengi ya kujifunza kutoka uchaguzi Kenya

Rai - - MAONI/KATUNI -

Mapema wiki hii Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, ambaye alikuwa mmoja miongini mwa watazamaji wa nje katika uchaguzi wa Kenya mwezi uliopita amesema hakuna chochote kipya cha kujifunza kutoka uchaguzi huo wa Kenya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.